Tunanunua chuma chakavu

Hii biashara iko poa mno .... kuna mwanangu anapiga somewhere... ananunua vyuma chakavu, na zile waste za aluminium!!!!! Ndani ya miaka mitano jamaa kalipuka si mchezo !!!!

Ananunua anarundika store, mzigo ukiwa mkubwa ndo anauza ! Anazo boxer kama 3 ameajiri vijana wanazunguka kwenye site za mafundi aluminium kununua mazaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…