Tunamkumbuka Mwalimu

Sitomsahau kwa vifuatavyo;

1: Uongozi uliotukuka
2: Uanaharakati wa kusaidia nchi nyingine
3: Kukemea kwa vitendo rushwa
4: Kuwaunganisha watanzania wote kuwa kitu kimoja
5: Kuhamasisha uzalendo hapa nchini

Pumzika kwa Amani Mwalimu JK Nyerere hakika hatutakusahau milele na milele muasisi wa taifa letu Tanzania
 
Ongezea na Elimu Bure Mkuu.
 
Ila tulimkumbuka mtu tuwe wawazi tu..
Hiii katiba ya leo maovu na ya kinyonyaji inayotumiwa niyeye ndo alituletea Nyerere..
Sasa tusisisifie tu..Na alipokosea tuseme pia..kwenye ile katiba alitoa boko kambarage
 
Alafu kunatofauti kubwa Kati ya nyerere na huyu wasasa...
Tawala zao ziko tofauti kabisa...
Nyerere alikuwa mtu wa kauli moja..hakuwa na ndimi mbili
 
JK akiwa na JK kwenye ziara rasmi USA
 
Ila tulimkumbuka mtu tuwe wawazi tu..
Hiii katiba ya leo maovu na ya kinyonyaji inayotumiwa niyeye ndo alituletea Nyerere..
Sasa tusisisifie tu..Na alipokosea tuseme pia..kwenye ile katiba alitoa boko kambarage
Labda kwa mahitaji ya kipindi kile ilikuwa inajitosheleza tofauti na sasa mkuu
 
Huyo ndiyo mzalendo syo hawa wanatumia Magari ya bln 1 Kwa thamani

Ova
 
Ila tulimkumbuka mtu tuwe wawazi tu..
Hiii katiba ya leo maovu na ya kinyonyaji inayotumiwa niyeye ndo alituletea Nyerere..
Sasa tusisisifie tu..Na alipokosea tuseme pia..kwenye ile katiba alitoa boko kambarage
Ila alishasema, alifanya mema na ya kipumbavu..... chukuenk mazuri na mabaya acheni ila tatzo tunachukua ya kipumbavu hlf mema tunayaacha!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…