Mi namuona anajitangaza sana ktk TVAnajitahidi kufanya wajibu kwa matangazo mengi akishindana na matangazo ya coca cola. Waafrika bana mtu akifanya kazi yake anasifiwa sana. Hivi huku shithole countries hakuna kitu kama wajibu???
Makonda kwenye kazi ni mtu hodari Sana tatizo ni mtu wa visasi na anapenda kutumia matatizo binafsi kwenye madaraka na cheo hiyo ni moja ya weaknessUko sahihi...RC Makonda ni mbunifu....lakini anachukiwa kwa kuwa wanaona anafanikiwa...watanzania tulio wengi hupenda wenzetu waharibikiwe na halafu tujifanye tunasikitika au kumkejeli waziwazi
Vipi walim wanapanda bure madaladala?Ukweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.
Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.
Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Una maana hana vyeti?Makonda anafanya kazi kuliko hao wenye vyeti na ana msaada mkubwa. Wanachohitaji wananchi ni maendeleo.
Aisee wengine ni matatizo kama huku kwetu Kuna DC kafikia hatua ya kujiita Trump ni shida tupu na mikwara utekelezaji zeeeeroUkweli watu wengi hasa wanasiasa wanamchukia Makonda lakini ukiangalia mambo anayoyafanya na kwa uzoefu wake mdogo katika kazi lakini anajitahidi kuliko hata wakongwe serikalini.
Nimeangalia wale wanaopata huduma za kisheria kwenye ofisi yake..wanamshukuru sana.
Je Mikoa mingine mbona viongozi kama DC na MaRC hawawi innovative kuondoa changamoto badala yake wanakuwa wanyanyasaji.
Mkuu elezea zaidi. Neno moja tu hafai halitoshi toa sababu na uthibitishe. La sivyo jukwaa litakulemea.Hafai kabisa huyu Nyanda, nawashangaa wote mnaomsifia.
Nadhani mmekosa kazi za kufanya hasa nyie wa mikoani hamjitambui kabisa.