Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Kampuni hii inayomiliki hisa 50% kwenye kampuni ya PAP iliyonunua hisa zote za IPTL iliyoliingiza taifa kwenye hasara ya trilioni moja nukta nane hilo ni sehemu ya sababu ya watz kulazimika kuifahamu.
Simba trust imesajiliwa nchini Australia chini ya uwakilishi wa mwanasheria mmoja wa Australia mwenye uswahiba na Tanzania.
Taarifa toka Afrika ya Kusini zinasema Simba Trust imetumiwa na Rais Jacob Zuma kuibia madini nchini Kongo katika kipindi cha vita vya kuwafukuza M23 mashariki mwa nchi ya Kongo, Ndani ya ANC kumeibuka msuguano mkubwa watu wakihoji utajiri wa ghafla wa Rais Zuma tangu kipindi kifupi cha Vitata ya M23,
Taarifa zinasema wizi huo wa madini katika mgongo wa vita vya kimataifa ulizihusisha mamlaka za urais wa nchi tatu ambazo ni Zuma, Kabila na Kikwete, na katika kipindi hicho mpaka sasa, kampuni hiyo haijawahi kulipa kodi kwa biashara hiyo mahali popote katika nchi hizo hali inayotafsiriwa kuwa walifanya hivyo kwa "wizi".
Hapa kwetu tunaona jinsi kampuni hii inavyonufaika kwa wizi huu wa Escrow kwa mabilioni ya umma na nguvu kubwa ya wabunge wa chama tawala kutetea wizi huu.
Tutumie mda wetu kwa maslahi mapana ya taifa letu kuitafuta Simba Trust na umiliki wake na biashara zake ili tujue tunayepambana nae ni nani? Asije kuwa ndie tuliyemtanguliza vitani...!
Mkuu, Yeriko ameshasahau kuwa alitudanganya kuwa hiyo kampuni ni ya familia ya KikweteMkuu ndo hii hii uliyotuambia kua inamilikiwa na Miraji na dada yake Salama? au ni nyingine maana naona kama vile leo unataka kutupeleka kwingine.
Huo ni mtazamo wako. Mmekuwa madalali wa nchi za magharibiaise! hali ni tete sana, naona nchi imesimama...
Yeriko umeanza kudharauliwa. Kama umefikia hatua ya kumnadi Kagame ndani ya ardhi ya Tanzania hakika umedharaulika sana
Yeriko tapeli huyu, akaja na mbwembwe nyingi kuhusu mmliliki wa Simba Trust , leo tena bila aibu anakuja na swaga zile zile. Anataka kufunika uongo wakeduuu...viongozi wa kiafrika ni sheeeeda....
Sina sababu ya kujifunza kutoka kwa fedhuli na muongo. Juzi umetuambia vingine kuhusu hiyo Simba Trust na leo unaleta hekaya zingineUnapoteza mda wako mwingi kubisha kuliko kujifunza
Yeriko ni mganga njaa tu pale Kinondoni mtaa wa UfipaYeriko tapeli huyu, akaja na mbwembwe nyingi kuhusu mmliliki wa Simba Trust , leo tena bila aibu anakuja na swaga zile zile. Anataka kufunika uongo wake
Mada yako ya Simba Trust imekushusha thamani kabisa, iombe radhi kwanza familia ya rais, ndiyo uje na maneno yako ya vijiweni tenaUnapoteza mda wako mwingi kubisha kuliko kujifunza
duuu...viongozi wa kiafrika ni sheeeeda....
Unapoteza mda wako mwingi kubisha kuliko kujifunza
Lizaboni na Thatha mnajaribu sana kuokota maji.... Yamesha mwagika