Hadi hurumaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA), Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo August 24,2025.
#tunamjua #ssh #taifa #ccm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA), Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo August 24,2025.
#tunamjua #ssh #taifa #ccm
Hujui duniaUseme pia mnakwenda na wahuni ambao wamemtanguliza mbele huyo mama wa watu, na wenuewe wamejificha nyuma yake.
Kiufupi wahuni siyo watu wazuri hata kidogo. Yaani wanawagawia nyinyi wajinga baiskeli, halafu wenyewe wanachukua makaa ya mawe, gesi, almasi, mbuga za wanyama, bandari, nk.
Mhuni mamako maana hajakuambia ukweli kuhusu babakoUseme pia mnakwenda na wahuni ambao wamemtanguliza mbele huyo mama wa watu, na wenuewe wamejificha nyuma yake.
Kiufupi wahuni siyo watu wazuri hata kidogo. Yaani wanawagawia nyinyi wajinga baiskeli, halafu wenyewe wanachukua makaa ya mawe, gesi, almasi, mbuga za wanyama, bandari, nk.
Mtano au kumi sio shida katika uchaguzi huru na wa hakiMitano tena kwa Mama Samia
Kama umeamua kwenda na mama tambua umeamua kwenda na tapeli, fisadi na dhaifuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan afanyiwa Dua na Watoto Yatima aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA), Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo August 24,2025.
#tunamjua #ssh #taifa #ccm
InvinsibleMhuni mamako maana hajakuambia ukweli kuhusu babako
Awahiwe Haraka Huyo