D Daty Senior Member Joined Jul 1, 2011 Posts 126 Reaction score 13 Oct 20, 2011 #1 Katika jamii zetu za kiafrika hatutambulishi boy friend ila tunatambulisha mchumba
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 20, 2011 #2 utambulishe boyfriend!!!! si utatambulisha dunia nzima lol!!
M Maswalala Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 149 Reaction score 12 Oct 20, 2011 #3 feis buku said: utambulishe boyfriend!!!! si utatambulisha dunia nzima lol!! Click to expand... kwani kutambulisha boyfriend wako kuna makosa gan labda awe loverfriend
feis buku said: utambulishe boyfriend!!!! si utatambulisha dunia nzima lol!! Click to expand... kwani kutambulisha boyfriend wako kuna makosa gan labda awe loverfriend
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 20, 2011 #4 Maswalala said: kwani kutambulisha boyfriend wako kuna makosa gan labda awe loverfriend Click to expand... Feis amejibu kulinga na mtoa mada alivyoitumia hiyo boyfriend na sio loverfriend!
Maswalala said: kwani kutambulisha boyfriend wako kuna makosa gan labda awe loverfriend Click to expand... Feis amejibu kulinga na mtoa mada alivyoitumia hiyo boyfriend na sio loverfriend!
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 20, 2011 #5 Ni ngumu kumtambulisha boyfriend kwana mnakuwa bado ktk wakati wa kufahamiana kwanza na mnaweza kushindwana wakati wowote na ukawa na mwingine mpaka utakapopata mtakaeendana na kwenda kwenye stage ya uchumba inayowapelekea kwenye maandalizi ya ndoa.
Ni ngumu kumtambulisha boyfriend kwana mnakuwa bado ktk wakati wa kufahamiana kwanza na mnaweza kushindwana wakati wowote na ukawa na mwingine mpaka utakapopata mtakaeendana na kwenda kwenye stage ya uchumba inayowapelekea kwenye maandalizi ya ndoa.
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 20, 2011 #6 cantalisia said: feis amejibu kulinga na mtoa mada alivyoitumia hiyo boyfriend na sio loverfriend! Click to expand... true canta! Kasema byfrnd na c bylvr!
cantalisia said: feis amejibu kulinga na mtoa mada alivyoitumia hiyo boyfriend na sio loverfriend! Click to expand... true canta! Kasema byfrnd na c bylvr!
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Oct 20, 2011 #7 boyfriend muda wowote anyeyuka ka barafu
MTAMBOKITAMBO Senior Member Joined Jun 2, 2011 Posts 194 Reaction score 39 Oct 21, 2011 #8 Kiingereza ni cha wazungu,Kiswahili ni chetu.Pizza sio chapati wakuu!