Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,290
Kwa anaehitaj mkopo wa pesa tunakoposha sharti ni kadi na gar na huo mkopo riba asilimia 30.
 
Kwa anaehitaj mkopo wa pesa tunakoposha sharti ni kadi na gar na huo mkopo riba asilimia 30.
Hii Riba ni kwa Mwezi, kwa mwaka ama kwa kipindi gani?
Na hiyo Gari nabaki nayo mimi au unabaki nayo wewe?
 
Subiria mbulula wasiojua how money works watakuja. Wakamue hadi akili ziwakae sawa...!
 
Watu wengi wamepoteza gari na nyumba zao kwa mikopo ya kimagumashi kama hii maana ukipitiliza kidogo tu muda wa kulipa umekwisha lakini isitoshe hawa wakopeshaji wamekuwa wakifanya ujanja ili usiweze kulipa deni lako maana ule muda mliokubaliana hutampata ili muda upite uone kivumbi(kunyang'anywa dhamana uliyoweka)
Pia nasikia kuna ushirikina ndani yake. Utajitahidi kwa mbinu zote kutaka kulipa deni lakini utashindwa.
 
Watu wengi wamepoteza gari na nyumba zao kwa mikopo ya kimagumashi kama hii maana ukipitiliza kidogo tu muda wa kulipa umekwisha lakini isitoshe hawa wakopeshaji wamekuwa wakifanya ujanja ili usiweze kulipa deni lako maana ule muda mliokubaliana hutampata ili muda upite uone kivumbi(kunyang'anywa dhamana uliyoweka)

Mkuu ulichokiandika unakijua kweli? Kuna mkopo magumashi ukienda benk ukakopa halafu ukashindwa kulipa dhamana wanakuachia? Mkopo wowote ukizingatia yaliyomo ktk mkataba lazima ufaulu wengu huchukulia poa kwakuwa mkopeshaji sio ofisi nafikir umeelewa mtu akigoma kukuelewa ndo unaita magumashi

Muda umefika mtu hapatikan wala haonekan kwa nini usiaende polisi kujiweka sawa kwamba tumekubaliana leo tunalipana mliopwaji kalala mbele mzigo wake huu mkataba huu naomba niwe salama akipatikana nakubaliana na ww huo mchezo upo kama mzembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom