Tunakopesha na kuuza sola za majumbani

Tunakopesha na kuuza sola za majumbani

sha classic

Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
22
Reaction score
44
Tunakopesha na kuuza sola za manyumani kwa ajili ya kuwasha taa Tv redio ya boom box mashine za kunyolea kwa bei rahisi zaidi kutoka ZOLA nipigie 0654609122 waranty ni miaka 5
Screenshot_20180330-191625.jpg
Screenshot_20180330-191631.jpg
Screenshot_20180330-191651.jpg
 
Yani hawa jamaaa niwapigaji tu walitufungia sola nyumbani kwa maelezo kuwa tutalipia laki tatu hii ina taa tatu tu kisha watatuachia tunafikisha laki mbili na stini wanadai mpaka ufikishe milioni moja yani tuliambia waje kuchukua madude yao mpaka leo hawajawahi kuja kuchukua na sie hatuweki tena salio ENDELEENI TU KUIBIA WATU
 
sizani kama taarifa yako ina ukweli wowote ulijaribu kulifikisha swala sehemu husika? au ni kampuni gani?
 
Back
Top Bottom