N nyantuzu Member Joined Oct 1, 2014 Posts 87 Reaction score 24 Mar 21, 2016 #1 Habari wanajamvi, kwa anayewajua hawa watu huwa wanalipa kiasi gani? Nafasi ya Sales consultant. Natanguliza shukrani zangu.
Habari wanajamvi, kwa anayewajua hawa watu huwa wanalipa kiasi gani? Nafasi ya Sales consultant. Natanguliza shukrani zangu.
Kidume cha mbegu JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 1,251 Reaction score 710 Mar 21, 2016 #2 Mmmhhh hao watu hao mid ninvyojua wanalipiga asilimia kumi ya MTU atakavyo kopa yani kama ukanishawishi Mimi nikakopa million moja basis wew utapat asilimia kumi ya million mojai
Mmmhhh hao watu hao mid ninvyojua wanalipiga asilimia kumi ya MTU atakavyo kopa yani kama ukanishawishi Mimi nikakopa million moja basis wew utapat asilimia kumi ya million mojai
Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,835 Mar 21, 2016 #3 Duuuh
N nyantuzu Member Joined Oct 1, 2014 Posts 87 Reaction score 24 Mar 22, 2016 Thread starter #4 Duuh, hii hatari.