kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,481
Tushakuwa mbuzi wa kafara hakuna namna
Kauli huumba!. Tumia affirmation kutoa kauli njema kuumba mema!.Kila dalili zinaonesha tunaingia kwenye socialist ecomic system ambayo inaua uchumi, maana yake ni kwamba baada ya mwaka au miwili hivi mabenk yatakosa ukwasi na kujifunga automatically.
Kwa wachumi wamenielewa. Ni hayo tu kwa leo nitaendela kutoa somo