technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Nasema hili kwa dhati kabisa Rais Samia Na CCM mnakotupeleka tusije kulaumiana
Nchi hii toka mwaka 2010 inataka mabadiliko Ila nyie mnazuia
Wananchi wapo tayari kwa mabadiliko!!
WanaCCM ni ndugu zetu pia na police ni ndugu zetu huko mtaani. watu wakichoka wataana na Wana CCM na police.
Endeleeni kupanda hiyo mbegu ikichipua na kusitawi msije kulalamika !!
Muhaini ni nani ni yule msaliti anayeuza Mali za nchi na kuficha pesa nje ya nchi au anayewafumbua watu ukweli juu ya wajibu haki na Uhuru wao?.