CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,789
- 1,782
nijibuni jamani hivi kuna nini soo special kwenye kuolewa?
Sana sana security! Huenda huyo binti hakuwa na maisha kabisa na huyo mwanaume kamuahidi maisha mazuri atakapomuoa...things like that. Kwa hiyo ule uhakika wa kula, kuvaa na mahal pa kuishi, huenda ndivyo vilivyochanganya bibie. Kwa kujibu swali lako kuolewa ni uhakika wa maisha kwa ujumla. Japokuwa wakati mwiningine uhakika huo unakuwa wa muda, jambo ambalo msichana huyo hakulifikiria.