Tunakoelekea sasa kunatisha...Ndoa za kulazimisha hizi mmh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakoelekea sasa kunatisha...Ndoa za kulazimisha hizi mmh!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, May 30, 2012.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Nimesikia habari RFA kwenye matukio asubuhi binti amuua mwanae kwa kumnyonga kisa aweze kuolewa
  Mwanaume kamwambia hawezi kumuoa akiwa na mtoto ambaye hakuzaa nae
  dawa ni kukatisha maisha
  Hii imetokea Mkoani Ruvuma ..
  Hivi unaweza kumnyonga mwanao kisa uolewe??
  Jamani hivi tunaelekea wapi?
  Kweli wanaume mnaweza kuwa na roho ngumu namna hii,,????
  Akina dada Mama kweli unaweza kufanya maamuzi mazito kama haya:A S cry:

  God forbid

  ......Inashangaza **** Inasikitisha &&&&&&&&& Na kutisha pia....

  ahc_content_236512[1].jpg
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,603
  Trophy Points: 280
  mwanaume ndiye aliyetoa amri mtoto auawe?
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Khaaaaaa....................Mungu wa Mbingu na nchi tusamehe.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  shetan on duty

  sometimes kichaa cha kurithi kilimpanda

  ufinyu wa kufikirina kudhan kupolewani kuwin maisha

  roho mbaya
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  alisababisha kwa njia moja ama nyngne
   
 6. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Huyo alifundishwa kwamba mwanamke hakamiliki kama hataolewa!
  Mwanamke ndoa ati!
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na huyu mwanaume akimuoa huyu mwanamke.......Naomba kusema atakuwa sio mwanadamu mwenye UTU. Ni mnyama!!!!
   
 8. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Halafu ukute alimdanganya tu, kumbe ana mchumba ake huko Sengerema!
   
 9. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  unafikiri kumnyonga huyo mwanae ndo jamaa atamwoa huyo mwana dada?
  mi nafikiri huyo mwanaume alikuwa hataki mwanamke alie zaa, dada hakuelewa
   
 10. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kinachouma na kusikitisha zaidi ukute mwanaume hizo zilikuwa ni excuses wala hakuwa na mpango wa kum oa. Huyo mwanamke unashindwa hata kuelewa alikuwa anawaza nini na kama ana akili timamu.... Inasikitisha kwa kweli, wanawake we have a long way to go. Mungu arehemu the angel.... So sad.
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  Huu ni mkanganyiko ambao hauna ufumbuzi,FL1,naomba nenda kuna thread hapo "uko tayari kuwa mama wa kufikia/kambo"?,soma post nawe uchangie,kisha rudi kwenye thread ya Bishanga mtumwa hauawi,natumai utajifunza jambo!
   
 12. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mungu anistiri na kichaa hicho kwakweli am proud kumwambia mwanamme kama nnawatoto tena nawapenda,akitaka ataoa
  hataki aishie,maisha haya watu wanatafuta mtoto kwa dawa yeye anamnyonga kisa kuolewa sidhani kama akili yake iko
  sawa huyo,na huyo mwanamme hana akili kabisa...
   
 13. L

  Luushu JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 592
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Wanawake ni watu wa kushikwa maskio mbaya ni mwanamme alieshawishi
   
 14. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tabu kweli kweli kwa sasa bibie wa watu anaenda kuolewa na Gereza kwa Sababu ya mawazo finyu ya kufiki.
   
 15. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunaelekea wapi tena
  Mtoto niliyebeba mimba miezi tisa leo aje mtu tu kunambia nimue ndo anioe
  Labda nianze na yeye
  Mungu atusaidie
   
 16. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,357
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  sasa akaolewe huko mahabusu..
   
 17. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Na hapo kuolewa hakupo tena mana lazima aende lupango, na mwanaume atatafuta jembe lingine, mtoto kashamkosa... very sad..
   
 18. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni ukatili , unyama na uuaji .. iasikitisha sana , kwani lazima ndoa??? au ndoa kama waiona ina masharti ni ya nini uikimbilie ??
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  That is not surprising for a woman. Hakuna mwanadamu mwenye roho mbaya na asiye na chembe ya huruma kama mwanamke, kama akiamua kuwa mad au akiamua kutoshirikisha ubongo wake vema.

  ama mwanamke anaweza kumuwekea Limbwata mme wa mwenzie ili atelekeze familia yake, amtunze yeye, au akaamua kumnyima chakula mtoto wa kufikia kisa hamtaki, au akawakataa wazazi wa mme kwa matusi na dharau kana kwamba si wazazi wa mwenzie.

  Ooh no, how many women wamenyonga mimba kisa tu hakujiandaa kuzaa (no wonder hata hapa JF kuna zaidi ya asilimia 70 washafanya dhambi hii), how many wamezaa na kutupa mtoto chooni huku mtoto akimwangalia kwa huruma? How many wamezaa watoto na kuwatupa porini waliwe na mbwa? I hate women when it comes to ubinadamu.

  People wanasema, ukiona kuna mahali unashindwa kufanya maamuzi magumu kutokana na huruma, mpe mwanamke asimamie.
   
 20. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii siku imeanza vibaya sana why? kwa nini...wanyongwe wote mke na mume
   
Loading...