Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 976
- 1,405
- Thread starter
-
- #21
Karibu tukuhudumieHabari wandugu,
Tunakodisha tablets for data collection au kwa kazi yeyoye inayohusiana na matumizi ya Tablets.
Zina Kamera zenye ubora na za kisasa zenye uwezo mkubwa.
Tunazo nyingi na za kutosha. Kwa mawasiliano tumia namba hizi:
+255717246284
+255767246284
Mail:
edwardchapa02@gmail.com
trustresearchltd@gmail.com
Utaanzaje kuziiba?Nikiziiba je.?
Utaanzaje kuziiba?
Huwezi na haiwezekani! Tutakukamata tuu.Si nakodi afu nasepa nazo.!
hamuwajui vzuri watanzania nyie hope soon mtakuta kkoo betry na vifaa vngne vinauzwa kama spea kkooHuwezi na haiwezekani! Tutakukamata tuu.
Mpaka tunakukabidhi tablets zetu, tumekutathimini vya kutosha na tumeshafanya uchunguzi, nikupe mfano mmoja wale wanaokodisha magari je huwa yanaibiwa? Au kupotea??hamuwajui vzuri watanzania nyie hope soon mtakuta kkoo betry na vifaa vngne vinauzwa kama spea kkoo
TunatumaMkoani mna tuma
Nini kazi ya tablets?Hizi tunakodisha kwa ajili ya kazi kama data collection na kazi yeyote inayohusisha na matumizi ya Tablets