Tunakodisha Music Stage & DJ's

Joined
Dec 11, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Habari za wakati huu.

City Music Sound inapenda kuwatangazia kuwa tunakodisha music stage na dj's kwa ajili ya sherehe mbalimbali. Tutakupatia kila kitu kwa ajili ya sherehe yako kuanzia vifaa vyote vya muziki na kama utahitaji na maDJ pia wapo.

City music sound ni kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania, Tunajihusisha na uuzaji wa vifaa vyote vya muziki kuanzia Speakers, guitars, keyboards, mixers, amplifiers na kadharika na kadharika. Tupo kariakoo mtaa wa uhuru opposite na KCB Bank.

Tell: +255 763 303 657,
+255 688 503 220
+255 713 577 061
info@citymusicsound.co.tz
City music sound | Professional Music Sound

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…