Kalolo Junior Member Joined Oct 20, 2011 Posts 81 Reaction score 27 Sep 20, 2013 #1 [h=5]IMLA Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza. Swali la 1. Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda kula. (1% mark)[/h] [h=5]Wanaume walijaza majibu ni Wali, Ugali, na Mihogo.[/h] [h=5]Wadada walijibu Burger,Egg Chop na pizza. Swali 2. Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (99% marks) Haaah haah haaah acha wadada wahangaike kufuta majibu ya mwanzo![/h]
[h=5]IMLA Mwalimu katoa test ya imla, masharti ni kwamba usifute fute na kubadili majibu baada ya kujaza. Swali la 1. Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umeshalipiwa utapenda kula. (1% mark)[/h] [h=5]Wanaume walijaza majibu ni Wali, Ugali, na Mihogo.[/h] [h=5]Wadada walijibu Burger,Egg Chop na pizza. Swali 2. Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (99% marks) Haaah haah haaah acha wadada wahangaike kufuta majibu ya mwanzo![/h]
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Sep 20, 2013 #2 Tunajifunza wadada hao wanakula junk food.
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Sep 20, 2013 #3 Sio mahala pake hapa......,......!!!! peleka kwenye jukwaa la JOKES+UDAKU!!!!
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Sep 20, 2013 #4 iko kijokes zaidi
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Sep 20, 2013 #5 ungeweka kwenye jukwaa lile la vichekesho ingekuwa mzuka!! mi sijajifunza chochote!!!
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Sep 20, 2013 #7 kwi kwi kwi kwiiiii
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,355 Reaction score 111,636 Sep 20, 2013 #8 wanawake wanapenda vitu laini laini au boflo boflo au ronya ronya...
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 20, 2013 #9 Kongosho said: Tunajifunza wadada hao wanakula junk food. Click to expand... Ndo mana baadhi vitambi vikubwaaa
Kongosho said: Tunajifunza wadada hao wanakula junk food. Click to expand... Ndo mana baadhi vitambi vikubwaaa
R rafikimkweli JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 349 Reaction score 121 Sep 20, 2013 #10 tunajifunza kwamba wanaume hupenda vyakula vilivyopikwa na wake zao, na kwa wanawake kutafuta majibu ya mwanzo kuna maanisha kua wao ndio wapikaji wa vyakula hivyo vilivyotajwa na wanaume, ila hupenda mara moja moja kula vitu wasivyoweza kupika
tunajifunza kwamba wanaume hupenda vyakula vilivyopikwa na wake zao, na kwa wanawake kutafuta majibu ya mwanzo kuna maanisha kua wao ndio wapikaji wa vyakula hivyo vilivyotajwa na wanaume, ila hupenda mara moja moja kula vitu wasivyoweza kupika
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 20, 2013 #11 mafunzo kwamba kufaulu kuna hitaji maarifa ....