Tunajenga nyumba

haya..kwa wale wageni naomba niwatambulishe kwenu mudada anaitwa Da Sophy. tupo naye hapa tokea akiwa mjamzito mpaka sasa ivi mnavoona nyumba inajengwa. kina Zahra White wamekuja juzi tu. Umesikia amu and co?

long time.
I will have a baby within 2 or 3 weeks baby boy.
Mutanikoma after a month.


 
Nimetoa macho nikijua unasema na wewe umejenga kumbe ndo hivyo,
hongera sana
endelea kula kiyoyozi.
 

mmmmmmmmhhhhhhhhh haya mwaya tuseme nini tena, twamuonea huruma tu huyo msomi mwenzetu, ipo siku Mungu atamuokoa kwenye hilo janga...ila kaa ukijua uliyomfanyia mwenzio na ww yatakufika...na hata leo huyo ni mume wake na km huyo mume akifa leo basi atapelekwa kwa mkewe ww hujulikani ..ujue huyo ni wake sio wako
 
Ramadhani kareem......!


 

Hilo la kumzika mumewe wala sijambania, lakini wakati huu ambapo yupo hai niko nae mie kwa sababu bwana anahitaji faraja kutoka kwa mwanamke na anaipata kwangu, kwa nini akateseke na mie nipo na nampenda? Na hilo la kufa wewe unajuaje nani ataeanza kufa miongoni mwetu siye watatu? Humjui atakayemzika mwingine kwakuwa ya Mola huyajui. Sisi tunaishi maisha yetu sasa. Ya kesho ayajua Mola.
 
Pole sana , maana inaonyesha unapenda kumiliki lakini ndiyo basi tena huwezi, si wako hata ufanyeje, utabaki kuwa kiraka wakati wote, maana angekuwa anakuthamini na kukupenda angeshakuoa hatakwa mkataba, lakini kwa kuwa wewe ni kiraka hawezi kukufanya mke hata siku moja. Na utabaki kuwa kiraka milele.
 

Haya ni mawazo yako na una haki zote kuandika uwazacho. Lakini nakukumbusha kuna tafauti kubwa kati ya mawazo na hali halisi.
 
Haya ni mawazo yako na una haki zote kuandika uwazacho. Lakini nakukumbusha kuna tafauti kubwa kati ya mawazo na hali halisi.

Wewe huna kitu cha kufanya, halafu pia una mawazo hafifu sana, wenzio huwa wanakula kimya kimya hawapigi kelele, ila jua kila lenye mwanzo halikosi mwisho. Hapo ndipo utakapokuja kujua nani ni mke na nani ni kiraka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…