Tunaitoaje CCM madarakani?

I think the issue of changing the constitution was a good idea which directs the opponents where to start
 
Amani ?amani bila Haki sio amani, kwa nini Tume ya uchaguzi haiteni haki?


Siku ukiacha kufungu Hotpot kwa Shemeji ndio utajua umuhimu wa amani kwenye shughuli yako ya kutafuta rizki

Sasa hizi kazi yako ni kuuliza msosi bado?
 
Tutatengeneza katiba mpya hii itatusaidia wakibolonga CHADEMA nao tutawatoa. Kwani uimara wa chama ni nini?ni Fedha. Tutachanga. Chama kimekaa madarakani miaka karibia 40 kitaacha kuwa imara?
Acha ujinga jomba..hivi unaamini chademaa ni chama kile...?? Hahhaha wewe kama unataka kukopa wahi kule mzee kabla fweza hazijaisha..wanakopesha magari, ma vx, etc..hahahaha...wakati hata ofisi hawana..Hivi wakikimbia na pesa za walipa kodi utawapatia wapi...acha kufanya mchezo na mambo serious ya nchi wewe...na usirudie tena kuleta haya madudu..piga kazi uinue uchumi wako. Acha kuwatafutia wenzio mwanya wa kula..
 
I think the issue of changing the constitution! ! as a good idea which directs the opponents where to start
What is constitution by the way.? Can the cnstitution manage itself..? Its just words on the paper !fulstop..! Somebody somewhere must be present to lead through..its nonsense..take an example of China..do you know how their constitution is!?! And how is it applied..to them its rubbish..and this is why they have managed to excel...big time..! Managed to make Tremendous changes in their economy! Can u compare with ours..?? How many political parties do you know are there...and how are they practicing what u call democracy..tuacheni mambo ya kudanganywa na wazungu eti sisi ndio tunayafuata kama vile tunayajua saaaaaana kuliko wao walioyaanzisha...thes guys are laughing at us..we look like fools..no wonder Trump just the other day called us S.h.it.h.o.les
 
Siku ukiacha kufungu Hotpot kwa Shemeji ndio utajua umuhimu wa amani kwenye shughuli yako ya kutafuta rizki

Sasa hizi kazi yako ni kuuliza msosi bado?
Wewe ni sawa na Ngiri+ Nguruwe Shwaini hata wakati tunadai uhuru nguruwe kama wewe walikuwepo
 
Mie huwa naamka mapema naangalia kwenye tv watu wakipanga foleni ya kupiga kura.
 
Poa mkuu asante kwa mahubiri.
 
chama sio hoja hoja ni wananchi kutawala yaani hata ukiweza mjinga kama msukuma ila akiwa anajuwa kuwa amewekwa na wananchi na sio tume na police lazima atafata sheria.
 
Vijana ni taifa LA Leo siyo kila anayeweza kuongoza hivi sasa alipitia CCM, jiulize tu tangu kuanza vyama Vingi ni muda gani umepita ,ni umli wa MTU mzima ?,wapo walio katika siasa hawajawai pitia ccm na ni viongozi wazuri.

Lazima ccm iliwasomesha na inaendelea kuwasomesha kwani ndicho chama tawala tangu Uhuru .

Swali;

Ambaye hajapitia ccm namna gani ? Hajasomeshwa ama hajawa mwanacham wa ccm ?
Tanzania ilikuwa nchi ya chama kimoja na usingeweza kupata elimu ya juu bila kupitia CCM, sasa ni nani unayeweza kumpata ambaye hakupitia CCM?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…