dorge
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 239
- 368
Jamii za sisi binadam ni watu wa ajabu kabisa. Unashangaa mtu anasukuma IST au Volti. Anapaki msikitini. Mwingine anaishi kwenye nyumba yake safi na ameshanunua gari anamtoto mmoja. Wewe umejihangaisha unaishi kwako watoto watano. Mmoja amemaliza wanne unasomesha wanaondoka na magari ya njano asubuhi.
Cha ajabu binadam anakuletea dharau sababu tu hujalipa gari kipaumbele.
Japo unatamani uharakishe Ili mtoto akizidiwa iwe rahisi kumuwahisha hospitalini. Lakini kutokana na changamoto hujamudu kuvuta gari. Tena haswa tunayopenda kuagiza kwa majapani moja kwa moja.
Jamii inakuchukulia dhaifu. Jamii haina aibu, unapolipia watoto million of money. Anakuja mtu anakudharau.
Ukicha hao. Kuna wale vijana katika ndg wa hizi familia Pana. Watoto wa kiume watajipendekeza kwako ukiwa unapaki gari nje. Utaona wanashoboka sana.
Ukiwa huna hiyo iD hutamuona hata mmoja. Sasa utasikia kwani Dorge hajanunua gari bado? Tunaishi na jamii za watu wa ajabu sana, wasio na vipaumbele. Kuishi kwa tamaa. Nilishuhudia wazee watatu waliostaafu kijiweni kwangu. Walinunua magari baada ya kistaafu