Tunaishi kwa Neema Tu

Unapozaliwa unatakiwa kuishi mda ambao mwili utachoka na kushindwa kuhimili nguvu ya roho. Roho inatoka na kwenda kutafuta maskani mengine. Vifo vya kabla ya mwili kuchoka ni michezo tu ya wale waliong'amua kuwa "maisha ni mchezo ". Kinachotakiwa ni kujitahidi kuwa tu na maisha mazuri kabla ya roho kusepa.
 
Bila kuwasahau akina Ruge Mzee wa Fursa ameenda na Fiesta yake ameenda na maakili yake...hakika sote tunapita hapa Duniani
 
Na Atujalie Pumziko Jema,,Pale Atakapo Tuhitaji Kwake,,Sisi Ambao Angali Hai.....
 
Huo ni Woga Tu, Mh Wasira anagonga 90 na bado ana fight
 
Asante kwa hili, je wewe haujawahi kutetea kitendo vya serekali ya CCM vya kututeka, kuuwa, kupoteza, kutusingizia makosa na kutusweka ndani pasipo dhamana.
 
Asante kwa hili, je wewe haujawahi kutetea kitendo vya serekali ya CCM vya kututeka, kuuwa, kupoteza, kutusingizia makosa na kutusweka ndani pasipo dhamana.
Alishatubu usirudie Misri ingawa sasa hivi ana fanya maholidays huko Kinshasa na Asia kwa pesa hizo hizo alizopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…