Hakuna cha kuibiwa sisi ndo tulivyo.Nafikiri umeangalia kwa mtazamo mwepesi zaidi.
nina hakika wahusika wangu wamepiga. Mimi binafsi siwezi kupigamkuu umepiga kura serikali za mitaa?
soma hizo reference nilizoweka hapo...then come to ur own conclusion! Sijakunyima kuja na conclusion yako mh. Na kama unaona ni uongo...tungependa maelezo zaidimi nadhani ungeakikisha kwanza hizi habari kabla atuja itikia no more ... lakini kutoa accusation purely based on previous posts ambazo zimo JF tutajikuta tunalipoka na kuitwa Miafrica.
Una maana gani kwa kauli ya "sisi ndo tulivyo"? Mtazamo mwepesi ndo upi?Hakuna cha kuibiwa sisi ndo tulivyo.Nafikiri umeangalia kwa mtazamo mwepesi zaidi.
nina hakika wahusika wangu wamepiga. Mimi binafsi siwezi kupiga
soma hizo reference nilizoweka hapo...then come to ur own conclusion! Sijakunyima kuja na conclusion yako mh. Na kama unaona ni uongo...tungependa maelezo zaidi
Una maana gani kwa kauli ya "sisi ndo tulivyo"? Mtazamo mwepesi ndo upi?
Tuna tatizo la sisi ndo tulivyo.Tafakari ama piga picha ya hisia kutokana na experience uliyonayo ya maisha yetu.
ndugu/jamaa akipatwa na shida ni nini aproach yake/yetu ya kwanza kabisa ktk ku solve tatizo??
Bao lenyewe ni IPTL kulipwa Tsh23 Billion a month. Ivi watu wangapi wanajua hao IPTL ni nani?