hasan124
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 716
- 128
tiGO Pesa, M-pesa, Airtel Money ni dizasta, yani wizi nje nje katika huduma za kutuma na kutoa fedha.
Nimestushwa mno na kupanda ghafla kwa gharama hizo, Leo hii nimetuma Tzs. 30,000/= kwa jamaa yangu nashangaa nimekatwa Tzs. 1,850/=, Juzi nilituma laki4 wakanikata Tzs. 6,750/=, Nimejaribu kutuma 1mil. wanakata Tzs. 9,500/=. Je hii ni haki?
Natafakari kuna pesa kiasi gani hawa wanyonyaji wanatukamua sisi walalahoi na Je TRA wanalijua hili ama ndio zile za 10%??!!.
Imenilazimu kuandika mada hii hasa kwa kuwa wengi wetu hivi sasa tunalia na zile bukubuku walizopitisha wahishimiwa sana kule mjengoni, Najiuliza ni wapi Serikali hii ya CCM inapotupeleka?! Je haya ndio yale maisha bora kwa kila mtanzania waliokuwa wanahubiri wakati Adventurer anaomba kura?!
Tafakari chukua hatua 2015 sio mbali tunahitaji kuchukua Maamuzi Magumu Watanzania.
Pamoja Tunaweza kuiondosha CCM Madarakani.