alimtegemea zitto ,na zitto alitegemea akina shonza ndo hivyo mambo yamegoma
Huu ni mwaka wa mwisho kabla hatujaingia ktk uchaguzi Mkuu 2015,Wasira ktk Moja ya hotuba zake alituaminisha watanzania kuwa LA IMA chadema itakufa kabla ya 2012 na haitakuwepo katka uchaguzi 2015.Sasa bado tunaiona cdm ipo na inaendelea kwa nguvu.Je Wasira alikuwa anatafuta umaarufu?
Hata Sheikh Yahya alitabiri kwamba atakayegombea dhidi ya Jakaya Kikwete atakufa. Matokeo yake yeye ndiye akafa. If history has anything to go by tunasubiri kifo cha Wassira kabla ya 2015. He wrote his own obituary! Kama hatakufua KIMWILI basi atakufa KISIASA kwa jimbo lake kuchukuliwa na CHADEMA au na Esther Bulaya. Mark my words.