Tunahitaji watu imara au taasisi imara?

Tunahitaji watu imara au taasisi imara?

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
497
Reaction score
236
Ndugu Zangu hivi ili Nchi zetu za Kiafrika ziweze kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na kuleta tija katika maisha halisi ya watu tunahitaji nini kati ya "WATU Imara" au "TAASISI Imara" (We need strong People or strong Institutions) ?
 
Taasisi imara.

Uimara wa taasisi utaonekana pale wanaozisimamia watakuwa na weledi na uimara.
 
Huwezi kupata Taasisi Imara kama huna Watu Imara. Anza na watu imara then ndipo upate taasisi imara. Kwa akili kama ya Kikwete usingeweza kupata taasisi imara hata kwa tambiko.
 
Watu imara ndio huunda taasisi imara.not the other way around
 
Ndugu Zangu hivi ili Nchi zetu za Kiafrika ziweze kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na kuleta tija katika maisha halisi ya watu tunahitaji nini kati ya "WATU Imara" au "TAASISI Imara" (We need strong People or strong Institutions) ?
Tunahitaji taasisi kwa maana ya systems na sheria imara ambazo zitawashape watu
 
Watu imara hujenga taasisi bora na watu legelege week institution. Hivyo lazima tuanze na watu imara ili weweze jenga taasis thabiti. Taasisi hazitelemswi na mungu
 
tume huru ya uchaguzi, bunge linalowajibika kwa wananchi, mahaka huru, serikali imara, uongozi bora (rais), uhuru wa vyombo vya habari, freedom of speech, civil rights. Hivyo vyote vikifanya kazi yake kwa haki tunapata watu imara
 
we nee both strong leader and strong institutions
 
Hivyo vitu vina tegemeana kama unavyoona
namna mwili wa kiume hai unavyotegemea
chakula chake cha kila siku ili uhai upatikane.
Period.
 
Mama na Baba goigoi huunda familia goigoi...

Familia goigoi.... Huunda Jamii goigoi....

Jamii goigoi huunda Taifa goigoi....

Ni muhimu tukawa na Watu IMARA..... Ambao watatengeneza Taasisi IMARA......

Taasisi yeyote inaundwa na watu.....

Hivyo Taasisi imara ni zao la watu Imara....
 
Ndugu Zangu hivi ili Nchi zetu za Kiafrika ziweze kuendelea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na kuleta tija katika maisha halisi ya watu tunahitaji nini kati ya "WATU Imara" au "TAASISI Imara" (We need strong People or strong Institutions) ?

We need strong people who can create and defend strong instotutions
 
Institutions are man made. Kwa level ya maendeleo yetu tuna weak institutions na in most cases weak leaders. Hivyo ingawapo in the long run tunahitaji strong instutions lakini tutaanza na kuhitaji strong leaders who are committed to their people ili wa lead establishment ya strong institutions. Zikishajengwa zitasaidia kupata good governance. Mfano mzuri ni katiba ambayo kwa kuwa na weak leaders tuliishia kutoa kitu cha ajabu. Anayofanya JPM kama hayatengenezewa institutions safi ataondoka nayo. Challenge yake kubwa ni kujenga hizo instutions pamoja na kupunguza nguvu za RAISI na kuwaempower viongozi wengine waweze kufanya key decisions lakini wawe subjected to checks and balances. Kwa sasa last word ameachiwa RAISI na wengine hawana ubavu ukiacha kwenye ufisadi.
 
Back
Top Bottom