tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
Hawa wanaharakati mitandaoni ambao kazi yao ni kupinga kila kitu cha awamu hii kwa mfano Fatuma Karume,Mange Kimambi,Ansbert Ngurumo,Everist Chahali,Zitto Kabwe,Godbless Lema,Peter MsigwaHalima Mdee nk nadhani wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Maana hakuna jambo lolote lile linalofanywa na serikali hii bila wao kupinga na hakuna mawazo mbadala wanayotoa labda Mh Zitto siku moja moja huwa anatoa na ushauri kidogo lakini wengine ni kupinga tu kama vile wametumwa na kama wametumwa sijui wametumwa na nani....
Hatukatai kila mwanadamu ana mapungufu yake lakini ndo kila linalofanywa kwa awamu hii halifai kitu ambacho sidhani kama ni kweli.
Wamekuwa wakishinda mitandaoni kuhakikisha wana tweet au kuweka tu neno lolote lile la kuipinga serikali
Ningefurahi sana kama siku moja kuwe na mjadala mubashara then tuwasikie wakiwakilisha mada zao za kuonyesha wao wangefanyaje katika kuendesha nchi kama wanao wenzao kwasasa hawafanyi inavyopaswa.
Na Rais wa awamu hii ya tano navyojua mimi ni kuwa uzi ni uleule harudi nyuma mpaka kieleweke yote ambayo yameainishwa kwenye ilani ya chama anahakikisha anayatekeleza kama inavyotakiwa na ndiyo aliyoyanadi wakati wa kampeni.
Haya mawazo hasi ambayo yamekuwa yakipandikizwa kupitia mitandao ya kijamii ni ya kuyapuuza tu na hata kuwapuuza wanayajitahidi kuhakikisha kila siku wanaweka hata neno moja la kuwakatisha tamaa watanzania.
Ila nafurahi kwa baadhi ya watanzania kujua ukweli wa nini kinachofanyika nchini kutokana na zile tabia zilizokuwa zimezoeleweka huko nyuma katika kuhijumu nchi kwa baadhi ya viongozi wakishughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Kuwa na mawazo hasi na Kupinga kila kitu hakulisaidii taifa bali kuliangamiza