Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 114
- 139
Walimu wa home tuition services .
Location:Upanga Daresalaaam mtaaa wa Senegal
Emergency vacancy:
1.Tunahitaji Mwalimu mmoja ambaye ni mtaalamu wa mtaaala wa Cambridge curriculum masomo haya(chemistry and biology) form5&6.
2.Tunahitaji pia Mwalimu Mwingine ambaye ni mtaalamu wa physics and chemistry kwa mtaala wa Cambridge curriculum advanced level.
Vigezo uwe mtaalamu wa masomo tajwa kwa advance na pia uwe unaufahamu mtaala wa Cambridge curriculum, uwe Daresalaaam katikati ya mji ili iwe rahisi kufika upanga mtaa wa Senegal.
Mwisho leo hii jumatano tarehe23 july 2025
saakumi jioni.
Mawasiliano:
0659169709(Tuma meseji whatsapp au kawaida)