Tunahitaji mtu aliysoma Mweka Wildlife Fasta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunahitaji mtu aliysoma Mweka Wildlife Fasta.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mchambakwao, Dec 30, 2011.

 1. m

  mchambakwao Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The heading above refers,plse send your cv and copies of your certificates through by PM the undersigned!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  toa details zote aisee..mko wapi ?mkoa gani? au upo kenya?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa ajili ya nini....?
  nitatumaje CV yangu kwenye jina kivuli....?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
 5. m

  mchambakwao Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuko Arusha,uwe tayari kufanya kazi porini mfano National parks & Game reserve.Ni pm kwa maelezo zaidi,ila kwa sasa naenda lunch wakuu
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Uko makini?
  Tusije angusha CV zetu pasipojulikana!
   
 7. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huu ndio ufukunyuku ninaoukataa toka kwa waajiri. Jitu linasokomoka huko na kuagiza mtu aliyesoma OXFORD. Sasa kuna degree ya Mweka ambayo vyuo vingine hawatoi? Unataka competence au Jina la Mweka?

  Haya basi kama haitoshi, unataka tu mtu aliyesoma Mweka, kusoma nini? Pale kuna kozi nyingi? Kwa jinsi ulivyoandika huu ufwanyaya hapa, mtu mwenye akili zake atajua unataka mtu aliyesoma mweka labda umuulize kitu kuhusu mazingira ya pale au kuna demu ulimwacha akiwa mfagiaji kwa hiyo unataka kujua hali yake.

  Tayari mpk hapo SITUMI. Kama mambo mengine yako blah blah namna hii mshahara utapatikana kwa wakati kweli? Kuna kazi au tunaenda kukaa kwenye meza tukipiga story? Hakyanani sina ajira lkn ya kufanya na watu wa namna yenu hapana.
   
 8. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuuu naona kama unataka leta matani na ma job seeker yani mtu akutumie CV via PM haya hiyo cover letter aandike nini inamaana hiyo ofisi yenu haina email adress au sanduku la posta
  hata hujasema mnahusika na nini embu funguka vizuri.
   
 9. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Mulika mwizi!
   
 10. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  What is so special in Mweka that cannot be found on other universities/collg?
   
Loading...