Sisi ni watoto yatima wa marehemu mzee Rajabu tuko watoto 9,tuna eneo letu la ekari tatu maeneo ya GOBA karibu na petrol station ya oil link,kuna mama anaitwa Lilian Kileo ametupora eneo letu kwa kushirikiana na mtendaji wa kata ya Goba bwana Mzaganya,tumefuatilia haki yetu baraza la ardhi la kata bila mafanikio,watendaji wa kata wamekuwa wakihongwa pesa na mama lilian kileo ili kutunyima haki yetu,hivyo tunaomba msaada wako,huyu mama ni tapeli maarufu wa viwanja hapa mjini,