comrade igwe JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 7,295 Reaction score 3,952 Feb 15, 2018 #121 ipogolo said: TISS imebadilika. Sio lazima uone. Huko maofisini kwenu wamejaa na hamjuani. Jihadharini Click to expand... Mmmaa!!! wacha bana!!
ipogolo said: TISS imebadilika. Sio lazima uone. Huko maofisini kwenu wamejaa na hamjuani. Jihadharini Click to expand... Mmmaa!!! wacha bana!!
Moshe Dayan JF-Expert Member Joined Feb 10, 2008 Posts 815 Reaction score 710 Mar 1, 2018 #122 Dah, hii thread naikumbuka like it was yday!!! Six years ago!!! Damn!
boniuso JF-Expert Member Joined Mar 13, 2013 Posts 945 Reaction score 1,336 Mar 1, 2018 #123 Sina mchango mkubwa kwenye uzi huu, hii ni kutokana na uchanga wangu kwenye hii tasnia. Ila ninaunga hoja wengi waliochangia kwenye huu uzi.
Sina mchango mkubwa kwenye uzi huu, hii ni kutokana na uchanga wangu kwenye hii tasnia. Ila ninaunga hoja wengi waliochangia kwenye huu uzi.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,504 Reaction score 28,437 Mar 1, 2018 #124 Fredrick Ishengoma said: Up-to-date (2012) docs have revealed that the Pakistan's ISI is currently the best intelligence agency in the world followed by CIA. Click to expand... Who prepared those docs?
Fredrick Ishengoma said: Up-to-date (2012) docs have revealed that the Pakistan's ISI is currently the best intelligence agency in the world followed by CIA. Click to expand... Who prepared those docs?
ngoroki Senior Member Joined Jun 7, 2015 Posts 153 Reaction score 115 Mar 27, 2018 #126 Karikenye said: Mbona wamerakani walienda kumchukua Osama Bin Laden na kumuua bila ya wao kujua??? Je CIA taarifa walizipata wapi? Hebu jifunze kuunganisha dots bana! Click to expand... Walienda kumchukuwa na kumuuwa sio Osama ni uzushi tuu alieuliwa ni baba wa mfanyabiashara maarufu wa magari Dubai wacha kuamini uwongo wa muamerica
Karikenye said: Mbona wamerakani walienda kumchukua Osama Bin Laden na kumuua bila ya wao kujua??? Je CIA taarifa walizipata wapi? Hebu jifunze kuunganisha dots bana! Click to expand... Walienda kumchukuwa na kumuuwa sio Osama ni uzushi tuu alieuliwa ni baba wa mfanyabiashara maarufu wa magari Dubai wacha kuamini uwongo wa muamerica