Nilimsikia mwanamziki mmoja akiliongelea hili(simkumbuki jina) kuwa tusijisifu sana muziki wetu bado sana maana kusema umekua alafu anatajwa mtu mmoja ni kujidanganya, na watz hatutaki wengine wapande maana wengine wakifanya juhudi wanabezwa na kila aina ya tusi, thats why inapandikizwa chuki iliyopelekea hizo team, na kuweka uwest au usouth kwenye mziki wetu ndio tunauua wenyewe bila kujua(nafikiri hata p.2 walishaliongelea hili)
next nilikua namuona Rich mavoco sasa simuoni tena sijui tatizo nn,
Kiba ,Ommy,Jux nahisi bado vitu kidogo tu wataingia kundini MUNGU jalia muziki wa tanzania upige hatua.
Hao watanzania gani mkuu? Naona unaeleza hisia zako kwa sauti.Ushabik unakufanya ushindwe kusema kweli...... Kwa aina hii sasa tutafikaje tunakoenda kama had kwenye vitu serious watu bado wanaleta mihemko.Nakushaur nenda kwenye thread ya team husika ndo ukaandike hicho kitu.Otherwise na-assume hujaelewa mada.