Vee Money nae anazidi Ku shine for sure...
Jide kapoa sa hivi.... Kuna nyimbo niliona anataka toa sijui imetoka... Vee money ana juhudi.. Which is good
Kimsingi naungana naww ila nadhani tatizo kubwa nililoliona na ni muda mrefu ni management. Talent tunazo, muziki mzuri upo mpaka saa nyingine hua natamani Africa ingeuskia huu mziki ila tatizo kubwa ni MANAGEMENT NZURI kama aliyonayo bwana diamond, tungepata wakina Babutale na Said Fella wengine watano wawasimamie wakina omy, kiba, v money, rich mavoko n.k. Nakwambia tungefika mbaaali sana
AY alikuwa na nia na alikuwa tayari kuwekeza kwenye muziki wake lakini tatizo alikosa strategy pale alipotaka kuanza kwa kukimbia kabla hajaweza kutembea! Huwezi kufikiria kutoka nje ya mipaka ya Afrika wakati hata kwenye ukanda wako wa Afrika, kwa case hii, ikiwa hata Afrika Mashariki bado hujaikamata! Angeendelea kujikita zaidi Afrika kabla ya kuwafikiria akina Sean Kingston nadhani leo hii angekuwa mbali! Unapofanya collabo na mtu kama Kingston ni kwamba unataka kujitangaza America, Jamaica and other outside world... no way... hata hao wa-Nigeria waliotuzidi hawapo stupid kiasi hicho! P Square mathalani, wanafahamu wakitaka kujitangaza East Africa basi ni lazima wafanye kazi na mtu kama Diamond au mwingine sawa na yeye lakini hawawezi kufanya kazi na Chris Brown halafu watarajie kuiteka East Africa! AY angejikita kwenye kujitanua kwenye kanda mbalimbali za Africa, hivi sasa angekuwa mbali sana!AY alikuwa na trend nzuri sana kabla ya Diamond but sahivi amestack, kwa juhudi alizowahi kuzifanya alistahili kuwa mbele ya Diamond, ni vile tu hana nyota ya mchezo
AY alikuwa na nia na alikuwa tayari kuwekeza kwenye muziki wake lakini tatizo alikosa strategy pale alipotaka kuanza kwa kukimbia kabla hajaweza kutembea! Huwezi kufikiria kutoka nje ya mipaka ya Afrika wakati hata kwenye ukanda wako wa Afrika, kwa case hii, ikiwa hata Afrika Mashariki bado hujaikamata! Angeendelea kujikita zaidi Afrika kabla ya kuwafikiria akina Sean Kingston nadhani leo hii angekuwa mbali! Unapofanya collabo na mtu kama Kingston ni kwamba unataka kujitangaza America, Jamaica and other outside world... no way... hata hao wa-Nigeria waliotuzidi hawapo stupid kiasi hicho! P Square mathalani, wanafahamu wakitaka kujitangaza East Africa basi ni lazima wafanye kazi na mtu kama Diamond au mwingine sawa na yeye lakini hawawezi kufanya kazi na Chris Brown halafu watarajie kuiteka East Africa! AY angejikita kwenye kujitanua kwenye kanda mbalimbali za Africa, hivi sasa angekuwa mbali sana!
Kweli Ambwene amestack bana,lkn namuaminia sana huyu kijana hope siku moja atarudi vizuri,
Ali Kiba anatia sana moyo.
Moyo wangu tii tii tii, unakimbiaaa... don't quote me, ni Platnumz huyo!There goes my baby si maneno yangu ni ya Usher Raymond
Moyo wangu tii tii tii, unakimbiaaa... don't quote me, ni Platnumz huyo!
Watanzania wote tunajivunia KingKiba pekee kama msanii wa kimataifa ila hao wengine labda tuwape muda kidogo baada ya miaka kama 4 mbeleni.
Ali Kiba anatia sana moyo.
Watanzania wote tunajivunia KingKiba pekee kama msanii wa kimataifa ila hao wengine labda tuwape muda kidogo baada ya miaka kama 4 mbeleni.
Kweli umeongea vanesaa mdee anaelekea level izo ila wengine bado sana juhudi zinahitajika sn
Mkuu uwaambie hao team kiba wamshauri jamaa yao ajitahidi kama dai...
Mm napenda kiba awe kama dai
Ni kweli mkuu Kiba akiamua kwenda na mipango yake atatusua ila hii presha ya wanaojiita team yake ndo inamuharibuAngefanya kazi bila presha angepiga hatua ata mipango yake angeifanya vizuri. Tatizo kama ni mchezaji uwanjani basi anacheza na makelele ya jukwaa.