LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Habari za Jioni wadau wote,tunatafuta mtu msomi,mwenye uzoefu wa kuongoza vyuo katika nafasi ya juu mkuu wa chuo yaani Principal,muombaji awe na elimu ya digrii moja na kuendelea katika maswala ya uongozi na usimamizi,awe na uzoefu katika maswala ya uendeshaji taasisi za elimu,akiwa na uzoefu wa ualimu ni muhimu pia.Tuma CV yako au ya ndugu rafiki au jirani unayeamini ana uwezo na kazi hii kwa info@lenjentz.com