Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Mimi nimefurahi Kwa sababu nimepata marafiki humu wa kweli.
Ndio najivunia Kwa Raha zangu kweli kwasababu kuongeza wanafiki ni Raha sana unajifunza sana maarifa mapya .
Sijui kwenu mnajivunia Nini??
Good day .
Pole Sana mkuu kwa kupoteza mtu wa muhimu,mimi mwenyewe mwaka huu nilipoteza baba mzazi ila nilikubaliana na matokeo na nikaruhusu moyo wangu kuamini kuwa hili limetokea na siwezi kupingana na matokeo Cha msingi nipambane na maisha yaliyobaki.Kiufupi huu mwaka ulianza vibaya kwangu unaisha vibaya TU.mwaka umeanza nimempoteza mtu wa muhimu maishani tangu hapo nikama ameondoka na milango ya ridhiki pesa imekuwa ngumu kwangu kuipata...
Sioni nilililifanya Hadi mwaka unakata in short.
Sielewi ni nini kinaendelea.sio kwangu TU kwa familia nzima wanalalamika milango ya ridhiki imekuwa migumu.
Kukupata wewe ni mafanikio tosha.
Kunizalia mapacha umekamilisha furaha yangu.
Hakika wewe ni mwanamke mzuri na wa thamani kubwa sana kwangu kuliko hazina na fedha zote za dunia hii.
Yaani unataka uwe mwili mmoja na wakubwa zako?Mimi Hakuna nilichofanikiwa ila Bado Nina imani kwamba nitaweza kuyafikia malengo yangu kabla ya huu mwaka kuisha 🙏
Moja Kati ya malengo yangu Ni kumuoa Unique Flower awe mke wangu tukajenge familia.
Hili swala lako liko kiroho sana. Kuna umuhimu wa kuombea malango ya fedha ya familia. Kwenye kila familia kuna mtu ambaye yeye ni lango la baraka na fedha. Hata kama anajidai, weee muombea afya na maisha marefu, baraka zake zitadumu kwakoKiufupi huu mwaka ulianza vibaya kwangu unaisha vibaya TU.mwaka umeanza nimempoteza mtu wa muhimu maishani tangu hapo nikama ameondoka na milango ya ridhiki pesa imekuwa ngumu kwangu kuipata...
Sioni nilililifanya Hadi mwaka unakata in short.
Sielewi ni nini kinaendelea.sio kwangu TU kwa familia nzima wanalalamika milango ya ridhiki imekuwa migumu.
Nitaivunja MimiNilifanikiwa kuweka record ya kunywa mzinga fulani wa pombe kwa muda wa dakika 45 ,hii rekodi sidhani kama Kuna mtu ataivunja
Umefungiwa riziki zakoKiufupi huu mwaka ulianza vibaya kwangu unaisha vibaya TU.mwaka umeanza nimempoteza mtu wa muhimu maishani tangu hapo nikama ameondoka na milango ya ridhiki pesa imekuwa ngumu kwangu kuipata...
Sioni nilililifanya Hadi mwaka unakata in short.
Sielewi ni nini kinaendelea.sio kwangu TU kwa familia nzima wanalalamika milango ya ridhiki imekuwa migumu.
Nashukuru mungu naendelea na mapambano mkuu yote heri.Pole Sana mkuu kwa kupoteza mtu wa muhimu,mimi mwenyewe mwaka huu nilipoteza baba mzazi ila nilikubaliana na matokeo na nikaruhusu moyo wangu kuamini kuwa hili limetokea na siwezi kupingana na matokeo Cha msingi nipambane na maisha yaliyobaki.
Endelea kupambana huku ukimuomba Mungu.