Tunafunga Madish aina zote DSTV, AZAM,TING, STAR TIMES nk

Tunafunga Madish aina zote DSTV, AZAM,TING, STAR TIMES nk

kisale wakisale

Senior Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
158
Reaction score
204
Tunafunga madish aina zote kama DSTV,AZAM, TING, STARTIMES nk pia tunafungunga tv za LCD na LED ukutani.
NB:Bei maelewano
Tunapatikana Kimara Dar es salaam
Contact:0765570952
0785416610
 
Tunafunga madish aina zote kama DSTV,AZAM, TING, STARTIMES nk pia tunafungunga tv za LCD na LED ukutani.
NB:Bei maelewano
Tunapatikana Kimara Dar es salaam
Contact:0765570952
0785416610
Toa indicative price mkuu hizi za maelewano hutegemea umeanzia wapi
 
Toa indicative price mkuu hizi za maelewano hutegemea umeanzia wapi
Mkuu unajua vitu hivi havipo official sana kwa bei maalum hvo na kutokana na vyuma kukaza unakuta ukiweka fixed price unakuta unakimbiza had mteja mfano Kama mawakala wa DSTV na AZAM wanafanya kaz sio chin ya alf 30 kukufungia...ndio maana sijataka kuandika fixed price ila kama mteja ataridhia makubaliano na aridhike ndio namfanyia kazi
 
Mkuu dstv wanafunga kwa elfu 20 tu, wewe jikite kwene elf 5 mpaka kumi.
 
Decoda ya Azam ikifa Mpya una uza shilingi ngapi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom