Tunafundisha tuition, tunapatikana Dar es Salaam

Tunafundisha tuition, tunapatikana Dar es Salaam

thanks again and have you

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2023
Posts
230
Reaction score
426
R J EDUCATION SERVICE.

Ndugu Mzazi /mlezi ,Tunafurahi kukutaarifu uwepo wa walimu wabobezi ,wenye uzoefu wa miaka 15 katika ufundishaji.Tunafundisha wanafunzi wa Madarasa yote kuanzia Msingi Mpaka Sekondari (Kidato Cha sita) wanafunzi wa shule binafsi pamoja na za umma.

MUDA
Mwanafunzi anafundishiwa kwao muda wa ziada pamoja na kipindi Cha likizo,kulingana na masomo yanayompa changamoto.

UWEZO
Walimu wetu wanauwezo mzuri wa kuwasaidia watoto wenye uelewa duni(slowleaners) na waliochelewa kuzungumza(late articulation) ili kuweza kufanya vizuri ndani ya kipindi kifupi.

MITAALA
wanafunzi wa mitaala yote wanafundishwa.

MALIPO
Malipo ni maelewano Kati ya Mzazi na Taasisi.

MAWASILIANO

0784335581_COORDINATOR
0743567159 _COORNINATOR.

TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM(TUNAFIKA MAENEO YOTE).

KARIBUNI.
 
Mkuu akihitajita mwl. Masomo ya phys,chem na mathematics kwa o level na advanced mathematics kwa A level please kindly karibu DM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom