Tunafukuza wanafunzi wa ualimu wa Sayansi na wakati huo huo tunaomba walimu nje ya nchi

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Nchi yetu ina uhaba Mkubwa WA walimu WA Sayansi hali hii imepelekea Raisi mstaafu Kikwete kuanzisha crash Programu na kuendelea kusaka walimu wengine kutoka nchi za nje.

Kufuatia kufukuzwa kwa wanafunzi 7000 wa UDOM nini chanzo. Kwa nini watu wanawajibika kwa masuala ya Ulevi na kutoa takwimu za Uongo. Kwa nini wasiwajibike kwa hili?

Mwezi wa 6 Mwishoni, tunaenda kufukuza watu kwa ajili ya MADAWATI? Je MADAWATI na walimu kipi kinatangulia?

Sio mambo yote yaliyofanywa na mzee wetu mstaafu na uongozi wake J. Kikwete si mema, Jamani mi nadhani tuendeleze Mazuri aliyoyaacha. Siamini Kama Huyu mzee nchi nzima huko serikalini aliacha MAJIPU.

Kwa suala hili sasa Bila kusitasita tunaomba watu wawajibike.

Angalia baadhi ya post Hapa Jamvini kuhusu
ImageUploadedByJamiiForums1464620886.298726.jpg
u
ImageUploadedByJamiiForums1464620908.732577.jpg
wa SayansiView attachment 352180View attachment 352181
ImageUploadedByJamiiForums1464620861.645873.jpg
 
Back
Top Bottom