Mbu na wengine wotedawa zenu zinahusu mbu?
kwa muda gani ?
makisio yenu ya bei kwa nyumba ya kawaida?
Wewe unajua maana ya alama hii '?' kama unajua cheki tena maswali ya the bossMbu na wengine wote
Wewe unajua maana ya alama hii '?' kama unajua cheki tena maswali ya the boss
Sawa mkuu,majibu ni hayo
1.ndio
2.miezi mitatu
3.nyumba ndogo 2-3,inaweza kwenda mpaka 5 depending na ukubwa wa nje pia,aina,ghorofa etc
Ttz mnachanganya na Maji mengi ili mmtpze mteja bei ndogo chukulia nuvan nusu lita inauzwq 40000 mteja anaambiwa atapuliziwa nyumba kwa sh 40000 Mimi mtanikuta na Dawa zote sijui nuvan icon doom rungu nknk halafu tupatane bei ya kupulizia tu Na mashine yenu
kama huna hela bora kukaa kimya tu,sio kila kitu we huelewi,details zingine sio lazima umtafunie mtu kila kitu.inakwenda tano nini?
elfu tano?
kama huna hela bora kukaa kimya tu,sio kila kitu we huelewi,details zingine sio lazima umtafunie mtu kila kitu.
Wewe ni mgumu kuelewa ,na mwepesi kusahau.
Kama ni biashara wacha inishinde tu
dawa zenu zinahusu mbu?
kwa muda gani ?
makisio yenu ya bei kwa nyumba ya kawaida?
Nafanya fumigation inayoangamiza mazalia na uwepo wa mbu, mende, chawa, papasi, kunguni, na viroboto majumbani na mashambani pia kwenye mifugo.
Pia fumigation maofisini, warehouse na stores.
Bei ni nafuu sana sh. 1000 ( moja) kwa square metre.
Muda unaotolewa (guarantee) ni miez 4.
Mkuu weka wawasiliano yako tafadhali? Baada ya kufanya fumigation kwenye nyumba ya aliyohama mtu inatakiwa kuachwa siku ngapi kabla ya kuhamia mpangaji mpya?