Tunaendelea na ujenzi

Wekeni ulinzi mateja wasiwashe tena mshumaa....
 
Tutarudi kuwasha mshumaa mwakani tena mwezi kama huu mpaka mtoke ndani ya mji mhamie kisarawe.
Km mungu akitujaalia uhai na afya njema Inshaaallah.
 
Uongozi wa soko wasiruhusu mateja kukaa umo usiku.
kama kweli wao ndo sababu ya kuungua kwa soko.
 
Uongozi wa soko wasiruhusu mateja kukaa umo usiku.
kama kweli wao ndo sababu ya kuungua kwa soko.
Jambo la mwanzo inabid wapatikane hao viongoz alaf wakipatikana waangalie namna ya kuwezesha jambo km hili sijirudie tena
 
Na Muwachunge Wawasha Mishumaa na Wazee Wa Msuba, Unga n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…