Tunaendelea na mkopo wa viwanja 2019

Dec 17, 2018
5
45
MKOPO WA VIWANJA. 0652873212
2,500,000/=
ADVANCE :500,000/=
UKUBWA Mita 25*20 =(sqm500)
MALIPO KWA MWEZI 83,000/=
MIEZI 24
HUDUMA :MAJI, UMEME, SHULE, ZIPO.
*KIBAHA--BAGAMOYO--MKURANGA

CHAD CREATION CO LTD

0652873212 kwa maelezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dec 17, 2018
5
45
Viwanja viko maeneo gani vinapatikana wapi ama sehemu gani kwa apa Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
KIBAHA, eneo la galagaza umbali wa km 5 toka barabara ya morogoro unaingilia kibaha kwa Mfipa upande wa kulia ukitokea dar es salaam NA kwa Bagamoyo eneo la kilomo km 2 toka barabara ya Dar Bagamoyo, pia Dondwe ipo mpakani mwa wilaya ya Mkuranga na Ilala, unaweza kupitia Chanika au Mvuti ukitokea Mbagala kwa maswali zaidi 0652873212

Sent using Jamii Forums mobile app
 
saadmad

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
521
250

Interesting
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,399
2,000

Mkuu hongera kwa Ufafanuzi Murua kabisaaa, yani ambae hajaelewa hapa huyo amerogwa si bure!!!
 
kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,091
2,000
Vp na baada ya kumaliza deni na kabiziwa hati yangu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom