mwachisabwe kibona
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 116
- 27
do tanzania nchi yngu tutavumilia mpakA lini mfumo kandamizi usio jali maslahi ya wengi mtu anakufa kwa kukosa metacafein viongoz wanagawAna mabilion na wanajinasibu kwa kusema izo ni helA za mboga tu