Tunaenda wapi sasa?

Tread zingine nahisi nikichangia nitakula Ban bure!!!!
 
mtoto hawez laumiwa kwa hili hata uwezo wake wa kufikiri bado, ni kweli tunawakuza kimwili na maumbo, wengine wanaonekana wakubwa kabisa lakini ukweli utabaki kua uwezo wa kufikiri bado ni mdogo na tunahitaji kuwalinda jamii nzima

Well said! Jamii yote tunapaswa kuwalinda watoto wetu. Wanaitwa watoto kwasababu ya umri wao mdogo na akili zao bado ni changa kuweza kupambanua jema na baya!
Ndiyo sababu mtu mzima ukitembea nae unaitwa mbakaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…