Tunaenda wapi sasa?

Vannele

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
287
Reaction score
90
Hivi kweli baba mzima una mke na watoto unaenda kumuharibia mtoto wa mwenzako maisha kweli? Tamaa gani mlizo nazo wababa? Nazungumza kwa uchungu kutokana na jamaa mmoja kukutwa na kanafunzi ka darasa la V tena mbaya zaidi amekaharibu mbele na nyuma... Na baada ya mtoto kuhojiwa amekiri kuwa na mahusiano na huyo jamaa kwa zaidi ya mwaka... Tunakwenda wapi jamani?
 
Watoto wa siku hizi bwana......mwaka mzima unaukalia tu mpaka unazoea jamani alafu yupo kimya.
Huyo baba nae hana aibu hata kidogo,watu wazima hawaoni au ndo anaogopa gharama?

Aende jela tu hafai kuishi uraiani huyo,huko atakutana na wazee wa Coke zero,ndo watakapomshambulia na yeye.
 
Kizazi hiki hakitapita hata mbambo yote yatimizwe
Mbingu na nchi zitapita lkn neno la Mungu halitapita kamwe!!
 
wembamba wa reli treni inapita.........

sasa hako kabint jamani siku zote hizo kako kimya.....,eti Vannele
 
Last edited by a moderator:
mtoto hawez laumiwa kwa hili hata uwezo wake wa kufikiri bado, ni kweli tunawakuza kimwili na maumbo, wengine wanaonekana wakubwa kabisa lakini ukweli utabaki kua uwezo wa kufikiri bado ni mdogo na tunahitaji kuwalinda jamii nzima
 
watoto wa siku hizi hawajatulia kabisa.
 
wembamba wa reli treni inapita.........

sasa hako kabint jamani siku zote hizo kako kimya.....,eti Vannele

Yani ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni... Mwenzangu mtoto si akaanza kujisifu kwa wenzie eti ana buzi lake linampaga 10,000/- si ndo taarifa zikafika kwa wazazi! Kuandaa fumanizi wakamnasa jamaa tena mbaya zaidi ni HIV positive sasa... Jamani watoto wetu hawa!
 
Last edited by a moderator:

uwiiiii kumbe na kenyewe kalikuwa kanajisifia,mie nikajua kanalazimishwa.......

HIV positive wazazi wake wataumia sana
 

Anyongwe



cc: Blaine
 
uwiiiii kumbe na kenyewe kalikuwa kanajisifia,mie nikajua kanalazimishwa.......

HIV positive wazazi wake wataumia sana

Yani we acha tu... Mtoto inaonekana nae kashazoea sasa manake yupo free kama vile hamna kilichotokea...
 

Huyo baba ni muuaji tu sawa na wauaji wengine wowote wale wa hapa duniani na anastahili kuhukumiwa sawa na muuaji mwingine yeyote yule! Tazama, amekatisha future ya huyo mtoto na kuharibu kabisa mipango ya wazazi wa huyo mtoto waliyokuwa wanamuandalia ili aje aishi maisha ya furaha huko baadaye.
Binafsi huwa sina aina yoyote ile ya huruma kwa mtu anayetenda hivi, hata kama mtu huyo ni wa karibu kwangu kiasi gani!
 
Najiuliza tu hapa,Huyo mbaba Akifungwa ako kabinti Katatulia kasubili Muda wake ukifika au ndio kuna Njemba mwingine ataendelea kukapa Huduma hiyo?? Najiuliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…