Tunaelekea kwenye party

Bila shaka ukitoka hapo utapata na nguvu ya kummwagia maji mkuu wa majeshi,akiwa na sare zake.
 
Haaaaaaaaa, nimecheka hadi wife kashanga
 
Kani ni yupi kakupa lift yule jamaa anaekaaga karibu nae
Mweusi kama lami yule au??
Kama ni yule hamna shidah...! Ni mwema sana yule jamaa
 
Aliyekupa lift yule anaewekaga Uzi wa redio sikioni? Mwenye upara? Go to hell!! Hapo unapelekwa chumba cha oparesheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…