Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Mpo Tanzania?
HII ITAKUWA KONGWA NINI?
Dah!!Nadhani nishajibu maswali ya watu wengi hapa
Hatunywu sumu hatujinyongiiiiii
Ccm mbele kwa mbeleee
Tumeipenda wenyewe
Chaguo letu wenyeweeee
Wacha waisome nambaaa weeeeeee
Ccm mbele kwa mbeleeeee
Wacheni wandamane weeeeee.......ujinga wao
Ccm mbele kwa mbeleeeeee
Tumewapiga kwenye mitaaaaa
Ccm mbele kwa mbelee
Tutawapiga na udiwani
Ccm mbele kwa mbele
Tutawapiga na ubungeee
Ccm mbele kwa mbeleeee
Chamtema kuni kwa Uraisi
Ccm mbele kwa mbelee
*Huu wimbo unajieleza na utatunyoosha*
Dah!!Maeneo kama haya wanawake hawalali
Waacheni waisome no. tu
PointlessMkuu inaonekana umetype sana neno manji had simu na vidole vimezoea, hahaha