Gambino X
Member
- Aug 20, 2014
- 75
- 104
Tunapatikana Boko Beach - Tumeamua kuwaletea Art watoto wa mtaani pia photo shoot ya kibabe kila mtu afurahi na family - Zawadi yetu kwa jamii hii [HASHTAG]#BoxingDay[/HASHTAG] - vitu flani kwa uswahilini hakuna mpaka uende Mlimani city - kwanini na wao wasienjoi [HASHTAG]#NoInclusion[/HASHTAG] So hebu tu join leo tutakuepo na mwaka Mpya. Karibuni sana. Join WhatsApp Chat. TrulovMedia - PhotoBooth