Tunachora ramani za nyumba na plots kwa bei rahisi (kati ya laki 2.5 na 1M)

J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
268
74
Tunachora ramani za nyumba na plots za viwanja kwa bei rahisi kabisa.(kati ya laki2.5 na milion1 kwa majemgo yasiyo na ghorofa"Lddst"" )

Pia tunatoa ushauri "consultancy" juu ya ujenzi bora..JENGA KITAALAM ISHI KWA FURAHA.!Wasiliana nami 0762 466 293.
 
Sijauona urahisi unaosema hapo.

Kwa kawaida gharama za kudesign na kuchora mchoro wa nyumba ni 10% ya thamani ya nyumba/jengo likisha kamilika ujenzi wake.

Hiyo ndio bei sahii inayikubalika kisheria kwa makampuni yaliyo sajiliwa...

Sasa niambie ni jengo/nyumba ipi unaweza jenga kwa thamani ya 2.5M!? ndio ndio nipate 10% ya laki2.5 ambayo ndio bei yangu ya mwanzo?!

Kiufupi hapa ni kama natafuta pesa ya kula na wanangu ili siku zisonge,lakini si biashara au kazi..

Karibu tutakusaidia kwa kadri itavyowezekana.
 
Back
Top Bottom