Tunachimba visima bei nafuu sana

Tunachimba visima bei nafuu sana

mita 1 ni sh 65,000 ok. Weka mchanganuo mzima mpaka napata maji ili tujipime mkuu
 
Last edited by a moderator:
Unajua mm sikatai shark mbona uta wapata watu mpk elf 40000 kwamita ila vifaa watakavyo tumia nifeki ya hatari kwangu mm kua na wateja 10 kwa mwaka niheri kuliko kua nawateja 100 kwamwaka ambao wameniulia kampuni kwakua tu nimewakea vifaa vyabei yachini kisha wanatangaza kampuni yangu inatoa huduma mbovu
 
Mm kwangu mita nachimba kwa elf 65,000 we ukipata kwa 50,000 huria minangalia gharama za vifaa vyenyeubora na mudawangu wafanyaji wakazi kisha naweka bei
 
Hudum inendelea karibuni sana
 
Huduma inaendelea karibun sana
 
Asanten kwawale ambao tunafanya nao kaz.huduma inaendelea karibun
 
Sawa biashara hulia siwez kukwambia ntakuchimbia mita elf 40 kisha nikakuwekea vifahaa feki bada yamuda ukarudi jf ukasema nimekufanyia kazi mbovu nitapoteza wateja wengi kuliko kawada napo taja bei nangalia na vifaa vyakutumia katika kisima niheri kupata wateja 6 kwamwaka kuliko kupata wateja 20 kwamwaka nakampuni kufa nihayo tu mkuu
 
Maeneo ya goba-mbezi survey ya kuja kuangalia kama maji yapo ni bei gani?

Huyu jamaa kakuuliza hili swali lakini umeliruka kama hulioni. Kwa nini bei ya survey haiwekwi wazi? Unajua hata ukienda kununua mbao pale mwenge huwa wanasema kama ni ndani ya Dar usafiri bure lakini nje ya Dar za mwenye mzigo. Kwa nini usiweke distance ili tujue gharama za survey zinakuwaje?
 
Alinitafuta kwenyesimu nanikamjibu sio muda wote nakuwa jf mkuu ndio mana nikaweka namba zasimu just in case sir
 
Unajua mm sikatai shark mbona uta wapata watu mpk elf 40000 kwamita ila vifaa watakavyo tumia nifeki ya hatari kwangu mm kua na wateja 10 kwa mwaka niheri kuliko kua nawateja 100 kwamwaka ambao wameniulia kampuni kwakua tu nimewakea vifaa vyabei yachini kisha wanatangaza kampuni yangu inatoa huduma mbovu

Kumbe suala sio bei rahisi, ila nionavyo suala ni kuwa na uhakika wa upatikanaji wa maji
 
Huu uzi naona hua una-comment mwenyewe tu. Ungenisikiliza ukashusha bei ungeona watu watakavyojaa. Ila wewe umekomaa na sijui eti wengine wana vifaa feki,

Haya bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom