Tunaaminishwa uongo!

niibada

Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
40
Reaction score
6
Viongozi, vyombo vya habari,nk mbona wanaaminisha uongo! Mbona hakuna aliye tayari kusema ukweli kwa manufaa ya nchi yake! Kila taarifa haina ukweli kuanzia idadi ya vifo, hadi taarifa ya chama kwa umma! Naomba waandishi kuweni wakweli kwa habari husika na jadilin kiundani ili tupate faida za kinachohusika
 
Waandishi wa Tanzania hawaaminiki, ndio maana sasa hivi ni bora utafute habari mwenyewe kuliko kutegemea habari kutoka kwenye magazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…