petar Member Joined Aug 26, 2011 Posts 62 Reaction score 3 Jun 8, 2012 #1 Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM. Kuwasiliana piga 0714 25 53 51. Karibu.
Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM. Kuwasiliana piga 0714 25 53 51. Karibu.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 946 Jun 8, 2012 #2 petar said: Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM. Kuwasiliana piga 0714 25 53 51. Karibu. Click to expand... Picha ya: 1.Mayai 2.Kuku aliyetaga hilo yai. 3.Banda lako. 4.Wafanyakazi. 5.License copy ya biashara. 6.Ofisi yako. Tumechoka kulishwa mayai ya kichina bana!
petar said: Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM. Kuwasiliana piga 0714 25 53 51. Karibu. Click to expand... Picha ya: 1.Mayai 2.Kuku aliyetaga hilo yai. 3.Banda lako. 4.Wafanyakazi. 5.License copy ya biashara. 6.Ofisi yako. Tumechoka kulishwa mayai ya kichina bana!
petar Member Joined Aug 26, 2011 Posts 62 Reaction score 3 Jun 8, 2012 Thread starter #3 tembea ofisini utapata kila kitu unachiitaji namba ya simu hiyo hapo juuu
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,548 Jun 8, 2012 #4 mandieta said: Picha ya: 1.Mayai 2.Kuku aliyetaga hilo yai. 3.Banda lako. 4.Wafanyakazi. 5.License copy ya biashara. 6.Ofisi yako. Tumechoka kulishwa mayai ya kichina bana! Click to expand... Kwani picha ya hivi vyote (isipokuwa leseni) zitakuhakikishiaje kuwa ndo mayai bora? Kwani hawezi kupata picha izo mahali pengine then akakubandikia hapa? Tafuta njia sahihi ya kuhakiki ubora ila kwa picha utaumia.
mandieta said: Picha ya: 1.Mayai 2.Kuku aliyetaga hilo yai. 3.Banda lako. 4.Wafanyakazi. 5.License copy ya biashara. 6.Ofisi yako. Tumechoka kulishwa mayai ya kichina bana! Click to expand... Kwani picha ya hivi vyote (isipokuwa leseni) zitakuhakikishiaje kuwa ndo mayai bora? Kwani hawezi kupata picha izo mahali pengine then akakubandikia hapa? Tafuta njia sahihi ya kuhakiki ubora ila kwa picha utaumia.