I wish i have
Senior Member
- Nov 2, 2021
- 135
- 62
Hata mie uchumi sikuwaelewa bora wana tatizo la kukaa UCHI---sio kwamba, ni uchumi mdogo wa kati ?
Sasa nimeamini wanaotuangusha ni polisi tu kuwa na VITUO VISIVYOBORESHWA!?Kikokotoo cha uchumi wa nchi kinatumia vigezo vingi, lakini kigezo kikubwa ni maendeleo katika sekta zinazochochea ukuaji wa uchumi na ubora wa huduma za jamii. Ukilinganisha na miaka ya nyuma katika sekta hizo, hakuna shaka kuna mabadiriko chanya ya kuridhisha kiasi cha nchi kutokuwa kwenye kundi la nchi maskini
Hiyo ndio vita ya ACCEPTANCE ya WAAFRIKA hakika UCHUMI WA KATI UMEGAWANYIKA VIZURIMungu awabariki wote waliopigia kura ya hamna. Maana ukweli utaendelea kuwaweka huru. Na mimi ni mwenzenu.
KWELI KUPAMBANA NA CHINGA KAZITuna machinga economy🐒
KWELI HAKUNA WATU WENGINE NA WATAKUWA HIVYO HIVYO MILELENi ngumu kusema. Kwa sababu hakuna tofauti sana ya maisha ya mtanzani kati ya juzi, jana na leo.
Karibu tunaanza kuimport watu wa kukaa TANZANIA ili tuheshimiane kirahisi maana "TUNAPATA VITU TUSIVYOVIKUBALI"Ni ngumu kusema. Kwa sababu hakuna tofauti sana ya maisha ya mtanzani kati ya juzi, jana na leo.